Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Shida mtoto akija kumtaka baba yake...hapo itakuwaje!?

Hakuna namna Baba mtoto anachukua mwanae, ila tu kama. Mtoto ana miaka 7 na kuendelea lakini pia kama mama wa mtoto anakubali kuwa yule jamaa ndio mzazi wa huyo mtoto. Hakuna faili zaidi ya hapo, kesi inafungwa.
 
Acha singo maza .....Hata km akiwa ten maza.......tatizo ni kwamba picha zinaenda..... Mfano Emmanuel macron yule bana kaoa km bibi yake kabisaaa....tena anapiga nae picha za wazi akiwa na kibibi....na yule bibi ni mzee kuliko mke wa trump. Au huyu rais wa sasa ivi.....
 
Picha zinaenda kiaje yaani sijakuelewa mkuu ?
 
Kulima shamba lililokwasha toa mazao mtu yeyote atapita na kuchuma mazao
 
Shida si kuwaoa, shida ni unaweza kuwavumilia changamoto zao?
Inakuwaje mtu ni single mother ana watoto na ni wadogo halafu utake kuolewa? Kwa nini usilee watoto wako kwanza wajitambue ndio ufikirie kuolewa. Utaenda kuzaa watoto wengine huko then uwe na wototo kibao. Fikiria kuhusu watoto uliozaa kwanza.
 
Inabidi tuwaelimishe hawa mabinti mathara ya kuzaa na mtu kabla ya ndoa. Unakuta bintu mdogo kazalishwa watoto kadhaa , watoto wanaishi kwa tabu. Mimi nalea watoto 6 ambao ni matokeo ya single mother ili hali sina mtoto hata mmoja.
 
Singo mazel....... Nyie wanaume wa humu acheni kujishaua.... Tena wanaume wa humu acheni kabisa

Tunawajua vzuri wengi wenu mnaosema singo maza hivi singo maza vile si ndo nyie mnakimbia watoto kila siku wengine ndo hao mmekaa kimchongo mnalelewa na hao singo maza...... Kuna lijianaume lingine huku linaendesha gari la single mother na linakula chakula Cha single maza

Wanawaume wa kuoa siku hizi hawapo Wana maisha magum mno awafanyi Kazi wanalamba lips na miku**** ya wanaume wenzao wapate pesa ya kujikimu

Wanawake humu wanaume ni wachache sana kueni makini....Wengi wao ni kina naniii tu
 
Usioe kwa kumuonea mwanamke huruma,oa kwa sababu umempata akufaaye maishani
 
Wanawake hawana shukrani ata umfanyie lipi utakuja kuishia kudharaulika tu

Single mother hatuoi hawa ni laana sababu huwa wanalinga sana kipindi wapo mabinti dharau nyingi anaweza akamkataa jamaa mwenye nia ya kuoa kisa anadate na Mme wa mtu
.
 
Vijana tunaponea hao wanajifanya singo mtu ht ndala ziko Pair😎.
Wabaki na waliowazalisha huko.
 
Kuna ndugu yangu alimpa ujauzito dada mmoja, wazazi wake wakamuambia utamuoa huyu huyu. Akafungishwa ndoa kwa lazima. Wanasumbuana hivyo hivyo lakini bado wako pamoja. Sisi kwenye ukoo wetu unaruhusiwa kuoa single mother lakini asiwe na mtoto wa kiume.
 
We ukichukua aliezaa inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…