bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,796
Kwanza kabisa niwape pole sn madenti wanaosongoka leo nataka niwakumbushe maeneo fulani na majina kwa kila shule nilizopita nianze na ILBOYZ majina km Golgota pale mtiani inakofanywa, doms km kibo kilikua kikisha no 1 kwa usafi ,mawenzi n.k bustani ya mbogamboga pale, 2kiumwa 2naenda kaloleni dispensary, nane nane njiro, aisee nimepamis ilboru. 2rudi jiteute smart area, makuti hall, oficers mess ,canteen kubwa unapata mihogo na kila aina ya chakula na maafande wakuda wakikupata unakula wakati wa class aisee ni nouma ongezea zingne km unajua. NAPENDA ILBORU NAPENDA JITEGEMEE KM NAVOPENDA DAR NA ARUSHA
