Kwa wale wa pande zile

Kwa wale wa pande zile

Masingano alikuwa na mtoto mmoja tu aliyeitwa Singano. Singano alikwenda kusoma Ulaya wakati huo Sesingano alishatangulia mbele za haki.

Singano alipata barua ya ugonjwa wa mama yake. Aliwahi kurudi nyumbani lakini alipofika alikuta mgonjwa alishafariki na kuzikwa. Singano alikwenda kaburini na kuanza kulia

“ Manedle uzanibada ikedu Manedle”
“Oh my mother Manedle”..
Bwana alitoa na bwana ametwaaa..

Mungu bariki Mama singano Jina la bwana lihimidiwe Halelujah Kwa pamoja tuseme Kwangawaru
 
Back
Top Bottom