habar wakuu,kwa wale mliochaguliawa kuja kwenye chuo hiki nawakaribisha sana.chuo kipo Ilala-buguruni malapa.hakuna hostel kwa wanafunzi wa coz zote isipokuwa wale wanaochukua theology.kwa msaada wa hostel kwa wanaohitaji tafadhal ni pm.karibuni sana.