kwa wale wa st.john's ya dar-st.mark's centre

kwa wale wa st.john's ya dar-st.mark's centre

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
habar wakuu,kwa wale mliochaguliawa kuja kwenye chuo hiki nawakaribisha sana.chuo kipo Ilala-buguruni malapa.hakuna hostel kwa wanafunzi wa coz zote isipokuwa wale wanaochukua theology.kwa msaada wa hostel kwa wanaohitaji tafadhal ni pm.karibuni sana.
 
Kaka mi mwenyewe ni mmoja wapo vp kuhusu hostel kwa tunaochukua coz tofauti na hiyo?..kama vp nipe mawasiliano yako
 
Back
Top Bottom