UGARI MAHARAGE
Member
- Sep 10, 2014
- 20
- 0
Naomba kuuliza wakuu,!hivi kuna mtu yeyote ambaye ameriport chuoni walikomuhamishia na kufanyiwa registration??maana niko gizani na vyuo vingi tayar walianza kusoma ni takribani mwezi unaisha!!!ingali TCU hawajatoa tamko lolote juu ya swala hili.