Kwa wale wa transfer

Kwa wale wa transfer

Joined
Sep 10, 2014
Posts
20
Reaction score
0
Naomba kuuliza wakuu,!hivi kuna mtu yeyote ambaye ameriport chuoni walikomuhamishia na kufanyiwa registration??maana niko gizani na vyuo vingi tayar walianza kusoma ni takribani mwezi unaisha!!!ingali TCU hawajatoa tamko lolote juu ya swala hili.
 
Ingia kwenye website ya TCU nenda hadi kwenye admission result search jina lako kama kuna mabadiliko nenda ulipopangiwa ndivyo nilivyo fanya na nimefanya registration
 
Back
Top Bottom