M Mrope Sir Member Joined Oct 4, 2014 Posts 41 Reaction score 0 Oct 13, 2014 #1 Naomba msaada kufahamishwa kuhusu coz "bachelor of education in pyschology"
W WA KG Member Joined Sep 24, 2014 Posts 39 Reaction score 5 Oct 15, 2014 #2 koz hii hutolewa pale udom lengo ikiwa n kuandaa wanasaikolojia na washaur mahiri wa masuala mbal2 ya kijamii, kila mwanafnz anayesoma koz hii anapaswa pia kusoma masomo 2 ya kufundshia, moja major na lingne minor.
koz hii hutolewa pale udom lengo ikiwa n kuandaa wanasaikolojia na washaur mahiri wa masuala mbal2 ya kijamii, kila mwanafnz anayesoma koz hii anapaswa pia kusoma masomo 2 ya kufundshia, moja major na lingne minor.
C Chibanji Member Joined Sep 30, 2014 Posts 39 Reaction score 7 Oct 15, 2014 #3 saw mkuu coz mwenyew nlipew iyo saikoloji but ata ivo cjapew mkopo!!!!