Kwa wale wa UDOM

Kwa wale wa UDOM

Mrope Sir

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
41
Reaction score
0
Naomba msaada kufahamishwa kuhusu coz "bachelor of education in pyschology"
 
koz hii hutolewa pale udom lengo ikiwa n kuandaa wanasaikolojia na washaur mahiri wa masuala mbal2 ya kijamii, kila mwanafnz anayesoma koz hii anapaswa pia kusoma masomo 2 ya kufundshia, moja major na lingne minor.
 
saw mkuu coz mwenyew nlipew iyo saikoloji but ata ivo cjapew mkopo!!!!
 
Back
Top Bottom