Kwa wale wa UDSM

Kwa wale wa UDSM

Wew vpy! Hvi unajielewa kwely! R u okey! T themes yo not okey,at ol! Mh! Uko umezibuka cjui! Bychwa maji wew! Hujui then unajifanya wajua!
 
ofcourse,hapa tz kama hujasoma kwenye moja kati hvi vyuo vitatu udsm,sua na muhimbili.huwezi nawe kujiita eti umesoma chuo,elewa tu kuwa ulikua unapoteza muda wako.over

Kwa hiyo hivyo vingine ni Vyoo ama nini? You are full of Predujice!!! Unashusha hadhi ya Alumni wenzako(me+others) wa UDSM @ Perry
 
Ulimbukeni wa kuwa msomi kwenu te te te.. Watu wako advanced sanaaa sio UDSM sijui aris, then kuulizwa unang'aka mpfyuuuu, ungekuja kusoma huku ulimwengu wa1 je?
 
Halafu uzi huu ni kama taarifa, hivyo basi mtoa uzi ungekubali kutoa maelezo mazuri ili kwa mtu aliye humu JF hata kama hajasoma au hasomi UDSM basi atamtaarifu mwenzake anaesoma hapo na wala hayupo JF. Hujasoma hata ka kozi ka falsafa hapo chuon? Hujajua mwanafalsafa ni mtu muelewa na anaefikiria mbali kabla ya kutenda au kutamka kitu(Great Thinker) kama JF inavyosema. Chuon hapo umeenda kwa ulimbuken na utaondoka pasi na kitu wewe.
 
jamani namwombea mkuu perry msamaha kwa alichosema hakika sisi sote ni binadamu na tuna mapungufu pia tujue kuna maisha baada ya chuo tena magumu sana,mi nakumbuka tulivoingia udsm tulionekana wa maana sana huku tukibeza vyuo vingine ila ilikua ni utoto tu kwani baada ya chuo kitaa kugumu na aichagui kama umesoma SAUT,RUCO,CBE WALA UDOM.
 
jamani namwombea mkuu perry msamaha kwa alichosema hakika sisi sote ni binadamu na tuna mapungufu pia tujue kuna maisha baada ya chuo tena magumu sana,mi nakumbuka tulivoingia udsm tulionekana wa maana sana huku tukibeza vyuo vingine ila ilikua ni utoto tu kwani baada ya chuo kitaa kugumu na aichagui kama umesoma SAUT,RUCO,CBE WALA UDOM.

mkuu,unaniombea msamaha kwa kosa gani nililolifanya?
 
mie mwenyewew nilichomoa udsm pale conas but napga course nyngn tena chuo kingne tena course bomba, hajielew huyo anadhani kuish kwny hstl za gorofa nio ubora wa elimu, afu muulize anasoma kozi gani km hajadanganya huyo mtt . cku hz hakuna kusoma kwa kufuata vyuo tena na utakuta mtu anasoma mass media en communication au cozi za pale IRA udsm thn anataka kumdindia mtu anayesoma geology-udom. bvm-sua we unadhani utamfanyaje mtu huyu?
Duh huyu jamaa wawapi?? Hujielewi aisee na umebahaatisha kuwa hapo maskini pole sana.. Kwa taarifa yako sisi wengine udsm tulikataa wenyewe na sasa hivi tunakula bata mtaani.
 
ARIS is the Academic Registration Information System!!!!!!!!!!!!!
kwa hiyo ndo hiyo kwa wale mlokuwa ham
 
Ushamba unakusumbua tu,ni kweli sikusoma hivyo vyuo ulivyovitaja lakini niko mbali mno.Maliza chuo,halafu ndiyo utajua kama ulimbukeni utakusaidia.

kweli kAka.Elim maslai jna la chuo mbwembwe.Afu akumbuke result bado uenda akacheza disco Siombei ilo lakn nasema tu.Mana udsm n nouuma kwa sup Na pin!!!
 
Muanzisha mada unatuchafulia cv zetu udsm alumni,bila shaka ulienda UDSM kibahati na hauamini mpaka leo',na i get ths filng ur nt from UDBS wala COET ila ktk ile facault karibu na kwa mama Ntilie...
Tena watch ur tongue usîpende kujifanya mjuaji wew à wa kwanza kusoma UD na hautokua wa mwshô,ucpônde ùyuo vngne badô mdôgo kijana haujuî yajîyôpo afta chuô...
Jîbu watu vîzuri uctuharibie sîfa na cdhani kama utapona Sept conference wewe

CC Perry ....nadhan amekupata..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom