Hivi GPA ya mwisho(inayoonekana kwenye cheti cha kuhitimu chuo) huwa wanachukua ya mwaka wa mwisho(wa nne/wa tatu) au huwa wanaanza kuhesabia kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho then wanatafuta average
chukua average ya miaka mnneHivi GPA ya mwisho(inayoonekana kwenye cheti cha kuhitimu chuo) huwa wanachukua ya mwaka wa mwisho(wa nne/wa tatu) au huwa wanaanza kuhesabia kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho then wanatafuta average