Kwa wale wadada mnaochuna hii ndo dawa yenu

Kwa wale wadada mnaochuna hii ndo dawa yenu

Girl: baby Nina njaa, si unitoe hela ya kula basi....
Boy: una chenchi ya elfu kumi
Girl: ndio.
Boy: tumia hiyo chenchi...
Girl: Shenzi...nakublock hadi sanduku la posta[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
then what
 
Back
Top Bottom