Kwa wale wadada wote walio single tukutane hapa

Nimetega hapa siambulii kitu, nimeona wawili tu ambao mmoja nishamla kwa ID yangu ile nyingine... hebu mukuye mukuye singo ledisi. [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Huyu mtoa mada nilijua ni baharia .Gudume mwenzetu


Embu muwe basi mnatumia majina ya kirembo zaidi kwenye I'd zenu kama huyo wa juu kabisa ukiachana na hao wawili waliepost comments juu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Au mfano huyo aliepost chini yangu [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…