Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Mfano siku ya leo maji kujaa ilikuwa ni saa 04:29 alfajiri na yakawa yanapungua na kutoka yote mpaka saa 10:26 asubuhi.
Baada ya saa 10:26 asubuhi maji yataongezeka au kujaa mpaka saa 10 na dakika 39.
Kuanzia saa 10 na dakika 39 maji tena yatakupwa au kutoka taratibu mpaka saa 4 na dakika 44 usiku.
Hii kujaa na kupwa inajirudia kila baada ya masaa 6 kwa ukanda wetu. Na hii inatokea baharini kwa watu wa Ziwani mabadiliko ni kidogo sana ambayo hayawekwi.View attachment 1207112