Kwa wale wadau wa kwenda Ufukweni( Beach).

Kwa wale wadau wa kwenda Ufukweni( Beach).

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,489
Reaction score
14,091
Wadau mbalimbali wanaopenda kwenda kutembea Beach inabidi wajue ratiba ya kupwa(Low tide) na kujaa(High tide).

Kwa Tanzania tuna vipindi 4 vya maji kujaa na kutoka kwa siku, hivyo inabidi ujue muda utaokwenda beach kutakua na hali gani.

Hii unaweza ukapakua mtandaoni ya mwaka au ya siku utasearch "Dar es Salaam Tide Table".
 
Mfano siku ya leo maji kujaa ilikuwa ni saa 04:29 alfajiri na yakawa yanapungua na kutoka yote mpaka saa 10:26 asubuhi.

Baada ya saa 10:26 asubuhi maji yataongezeka au kujaa mpaka saa 10 na dakika 39.

Kuanzia saa 10 na dakika 39 maji tena yatakupwa au kutoka taratibu mpaka saa 4 na dakika 44 usiku.

Hii kujaa na kupwa inajirudia kila baada ya masaa 6 kwa ukanda wetu. Na hii inatokea baharini kwa watu wa Ziwani mabadiliko ni kidogo sana ambayo hayawekwi.
20190914_114714.jpg
 
Sawa baharia
Mfano siku ya leo maji kujaa ilikuwa ni saa 04:29 alfajiri na yakawa yanapungua na kutoka yote mpaka saa 10:26 asubuhi.

Baada ya saa 10:26 asubuhi maji yataongezeka au kujaa mpaka saa 10 na dakika 39.

Kuanzia saa 10 na dakika 39 maji tena yatakupwa au kutoka taratibu mpaka saa 4 na dakika 44 usiku.

Hii kujaa na kupwa inajirudia kila baada ya masaa 6 kwa ukanda wetu. Na hii inatokea baharini kwa watu wa Ziwani mabadiliko ni kidogo sana ambayo hayawekwi.View attachment 1207112
 
Back
Top Bottom