Kwa wale wafanyabiashara wakubwa

Kwa wale wafanyabiashara wakubwa

waukweli100

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
193
Reaction score
24
Natafuta mdhamini ambae atanipa bidhaa nikauze Mozambique kwa bei ambayo atanipangia yeye then mi nitajua niuze bei gani ili nipate faida, bidha ambazo mtu anaweza kunidhamini ni simu, viatu, saboofer, nguo, wax, viatu vya kimasai, vifaa vya simu nk kwa yeyote anayetoa mzigo nje ya nchi anisaidie kwa hilo na nipo tayari tukaandikishane popote utakapotaka, namba yangu ni 0718375766
 
natafuta mzamini ambae atanipa bidhaa nikauze mozambique kwa bei ambayo atanipangia yeye then mi nitajua niuze bei gani ili nipate faida,bidha ambazo m2 anaweza kunidhamini ni simu,viatu,saboofer,nguo,wax,viatu vya kimasai,vifaa vya simu nk kwa yeyote anatoa mzigo nje ya nchi anisaidie kwa hilo,na nipo tayari tukaandikishane popote utakapotaka,namba yangu ni 0718375766
 
kama wewe ni mfanyabiashara na unatoa bidhaa zako nje ya nchi,au kama unataka kuuza bidhaa zako nje ya nchi basi nichek kwa number zifuatazo ili nikupe infor zaidi 0718375766
 
Poa, weka maelezo hapa nini wewe, nani atoe namba zake kwa mtu asiyemfahamu, ili hali hajui lolote kuhusu hicho kitu
 
natafuta mzamini ambae atanipa bidhaa nikauze mozambique kwa bei ambayo atanipangia yeye then mi nitajua niuze bei gani ili nipate faida,bidha ambazo m2 anaweza kunidhamini ni simu,viatu,saboofer,nguo,wax,viatu vya kimasai,vifaa vya simu nk kwa yeyote anatoa mzigo nje ya nchi anisaidie kwa hilo,na nipo tayari tukaandikishane popote utakapotaka,namba yangu ni 0718375766

haya sasa leteni bidhaaa hizo
 
we tiriririka hapa mwanawani kama ilivyo ada ya platform yetu JF..
 
Bro funguka na amini mawazo YAKO yana msaada kwa wengine sema huja weka Maelezo vizuli
 
mi nipo mozambique naombeni niwe kama wakala,au msambazaji wa biashara kwa wewe utakaependa,kwa mimi tatizo ni mtaji ila huku kuna fursa nyingi sana za biashara namba yangu ni +258866131115 call or whatsupp
 
tuchambulie kidgo kuhusu fursa za nguo z mitumba,hasa za kiume km mashat na suruali.
 
Natafuta mdhamini ambae atanipa bidhaa nikauze Mozambique kwa bei ambayo atanipangia yeye then mi nitajua niuze bei gani ili nipate faida, bidha ambazo mtu anaweza kunidhamini ni simu, viatu, saboofer, nguo, wax, viatu vya kimasai, vifaa vya simu nk kwa yeyote anayetoa mzigo nje ya nchi anisaidie kwa hilo na nipo tayari tukaandikishane popote utakapotaka, namba yangu ni 0718375766

mkuu usifunguke sana watakuja kuchukua fursa hao huwajui....
 
Ungekuwa na bond, mbona simple tuu, tatizo uaminifu umekuwa ziro siku hizi??
 
So ukiwa na kamtaji kadogo kama m3 hivi, hapatufai ama??
 
Back
Top Bottom