Kwà wale wahenga nini unakumbuka au ulijifunza kupitia haya majarida ya Fema

Kwà wale wahenga nini unakumbuka au ulijifunza kupitia haya majarida ya Fema

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,301
Reaction score
1,788
Ni miaka ya 2006 kushuka chini nilikuwa naletewa Sana haya majarida na mjomba wangu .Haya majarida to be honestly yalikuwa yanafundisha kujikinga na ukimwi lkn kwa upande wangu mm ilikuwa tofauti yaliniamasisha kujuanza mapenz very sadness to me . Na yaliniaminisha punyeto kuwa ni sahihi na haina madhara yakika nilipotoshwa nitawalaumu hawa waandishi wa majarida haya

Na wewe share chochote kuhusu Fema ni mwaka gani na kipi unakumbuka kuhusu enzi.
IMG_3853.JPG
 
Jamaa aliye simama anakula Bata kuliko walio kaa.
Yaani ameshika mamanzi wanne
 
Jamaa aliye simama anakula Bata kuliko walio kaa.
Yaani ameshika mamanzi wanne
 
Umenikumbusha mbali sana.
Nilikuwa balozi wa Repro GTZ nikiwa sekondari O level. Yale majarida yaliyokuwa yanahusu ukuaji na maswala ya vijana kwa ujumla.
Nilikuwa mfuatiliaji na kila wiki napokea dazeni ya vitabu na mazaga kibao kutoka kwao ili kuwaelimisha wanafunzi wenzangu.
Kila mwisho wa mwezi napata ugeni wao.

Ila wanaume hawa...Mungu ndie ajuae.
Walinivurugia maarifa yangu yote
 
Bila kusahau MNARA WA MLINZI kwa sisi wakristu.
Miaka imeenda kasi sana.

Kuna jamaa posta, ana nakala za majarida na vijarida vya zamani mpaka ikabidi nimshangae.
Hadi hekaya za abunuwasi na bulicheka nimezikuta kwake
 
Nakumbuka katuni za ujasiriamali, maigizo ya michoro na wasifu za watu maarufu waliokuwa wanawekwa front page, Bila kusahau hawa watu walisema ili kujikinga na ukimwi vaa condom kuwa na mpenzi mmoja ya wakwako isipokutosha ongeza na nyeto kwani haina madhara (msisitizo umeongezwa)
 
Hawa watu walikuwa waelemishaji lkn huenda walikuwa wapotoshaji Sana yaani ety kuwa na mpenz mmoja
Jikinge na ukimwi piga pulli haina madhara kbsa hapa ndo walipigilia mstari wa mwisho na mm ndo nilipowaelewa kwenye hii code hahahahahahha ila maisha yanaenda kasi
 
Bila kusahau MNARA WA MLINZI kwa sisi wakristu.
Miaka imeenda kasi sana.

Kuna jamaa posta, ana nakala za majarida na vijarida vya zamani mpaka ikabidi nimshangae.
Hadi hekaya za abunuwasi na bulicheka nimezikuta kwake
Umenikumbusha mbali Sana kitabu cha hadithi ya a Akili ya abunuwasi .nilikuwa na kitabu chake kimoja kinaitwa .Sufuria yako imezaa cha abunuwasi Long time ago
 
Umenikumbusha SARA ANAMUOKOA RAFIKI YAKE, ,
Nawakumbuka washiriki kama MBUTA, ZINGO nk.
Ilikua poa sana aisee
 
Umenikumbusha mbali sana.
Nilikuwa balozi wa Repro GTZ nikiwa sekondari O level. Yale majarida yaliyokuwa yanahusu ukuaji na maswala ya vijana kwa ujumla.
Nilikuwa mfuatiliaji na kila wiki napokea dazeni ya vitabu na mazaga kibao kutoka kwao ili kuwaelimisha wanafunzi wenzangu.
Kila mwisho wa mwezi napata ugeni wao.

Ila wanaume hawa...Mungu ndie ajuae.
Walinivurugia maarifa yangu yote
Shule gani hiyo Madame uliyokuwaga balozi wa Fema
 
Kwa mara ya kwanza ndiyo nilisoma nikajua porn ni picha za ngono asee kuja kuchomoka kuacha kuangalia X ilikua kasheshe
Mkuuu mpaka leo hujachomokaga huko au ni kasheshe mpaka leo ebu tupia kisa chako Hapa
 
Shule gani hiyo Madame uliyokuwaga balozi wa Fema
Sikuwa balozi wa Fema.
Nilikuwa balozi wa majarida ya Repro-GTZ.
Majarida yaliyohusu afya, ukuaji na mihemko ya vijana na changamoto zake kwa ujumla.
 
Chama cha punyeto Tanzania(CHAPUTA)
World wide hiki Chama ni unknown kina members wengi sana invisible
Hiki Chama kilikuwepo before TANU .kipewe heshima yake kwà ukongwe wapi na stability katika uendeshaji
 
Umenikumbusha SARA ANAMUOKOA RAFIKI YAKE, ,
Nawakumbuka washiriki kama MBUTA, ZINGO nk.
Ilikua poa sana aisee
Siku hizi Hakuna tena haya majarida ya Fema
fema-31-magazine-mail-low.jpg
 
Sikuwa balozi wa Fema.
Nilikuwa balozi wa majarida ya Repro-GTZ.
Majarida yaliyohusu afya, ukuaji na mihemko ya vijana na changamoto zake kwa ujumla.
Ila wanaume walikufanyia nn Mbona unatutupia lawama Madame kama nakuona vile hapo
fema-magazine-cover-youth.jpg
 
Back
Top Bottom