Kwà wale wahenga nini unakumbuka au ulijifunza kupitia haya majarida ya Fema

Kwà wale wahenga nini unakumbuka au ulijifunza kupitia haya majarida ya Fema

Umenikumbusha SARA ANAMUOKOA RAFIKI YAKE, ,
Nawakumbuka washiriki kama MBUTA, ZINGO nk.
Ilikua poa sana aisee
Ilikuwa mwaka 2006
DmaKmr6X0AAJ-bA.jpg
 
Hivi wale wa 2006 nao ni wahenga [emoji2960][emoji848]
Ni miaka ya 2006 kushuka chini nilikuwa naletewa Sana haya majarida na mjomba wangu .Haya majarida to be honestly yalikuwa yanafundisha kujikinga na ukimwi lkn kwa upande wangu mm ilikuwa tofauti yaliniamasisha kujuanza mapenz very sadness to me . Na yaliniaminisha punyeto kuwa ni sahihi na haina madhara yakika nilipotoshwa nitawalaumu hawa waandishi wa majarida haya

Na wewe share chochote kuhusu Fema ni mwaka gani na kipi unakumbuka kuhusu enzi.View attachment 1709063
 
Yalikuwa yananikata tu stimu, magazeti yangu yalikuwa The Source Magazine, World Rap, etc nikikosa kabisa nilikuwa nasoma Ebony
 
Hivi wale wa 2006 nao ni wahenga [emoji2960][emoji848]
Inategemea wakati hayo majarida yanatoka ni kwa ajili ya vijana waliopo secondary na sio kwa nyie mlio kuwa kindergarten
 
To be honest, haya majarida ya Fema yalikuwa na picha nzuri za madem wakali. Yalikuwa yanani-refresh Sana kuanzia SAA 7 mchana primary school!!!
 
Kuna wana bwenini walikuwa wanaazimana gazeti ikifikia kipindi cha kwenda kuoga
 
Majarida ya " si mchezo" fema,, na Vijarida flan vidog hiv
Miaka ya 2009,10,11, 2012
Viliamasisha Sana nikaona punyeto Haina madhara ,
Pia nilikuw napenda story picha, na lyrics za nyimbo
 
Waliniharibia ratiba zangu za uzazi nilizozipanga enzi niko balozi
Hahahahahahha pole Sana Madame yaani mpaka ww leader wa taratibu za uzazi walikuangusha kweli wanaume kiboko anyway pole lkn vp maisha siyanasonga au
 
Majarida ya " si mchezo" fema,, na Vijarida flan vidog hiv
Miaka ya 2009,10,11, 2012
Viliamasisha Sana nikaona punyeto Haina madhara ,
Pia nilikuw napenda story picha, na lyrics za nyimbo
Hahahahahahha vilikusajili chamani sio tunayofuraha kuwa na ww kwa Wakat wote wa utumishi wako katika Chama
Lkn bado jina lako naliona kwenye members
 
Kuna wana bwenini walikuwa wanaazimana gazeti ikifikia kipindi cha kwenda kuoga
Hahahahahahha kweli wahuni sio watu mida ya kuoga wana wanapeana vijarida oyaa mwanang ukimaliza ulinipe . Mabaharia tulikuwaga na UMOJA kweli yaani
 
To be honest, haya majarida ya Fema yalikuwa na picha nzuri za madem wakali. Yalikuwa yanani-refresh Sana kuanzia SAA 7 mchana primary school!!!
Kulikuwaga na jamaa mmoja kwenye jarida la Fema alikuwa anaitwa Pascal huyu mwamba alikuwa mademu wanamkubali kinouma class sasà nilikuwa napenda Sana kusoma hii story ya huyu jamaa jinsi anavyotongoza madem akawa kama role model wang alikuwa anaipa monkar nikitoka kusoma ni bafuni au chooni daaadeq
 
Hahahahahahha pole Sana Madame yaani mpaka ww leader wa taratibu za uzazi walikuangusha kweli wanaume kiboko anyway pole lkn vp maisha siyanasonga au
Maisha yanasonga kimtimdo.
Si unajua mi5 tena, lazima tukomae wote ni kupambana tu
 
Back
Top Bottom