Hawa watu walikuwa waelemishaji lkn huenda walikuwa wapotoshaji Sana yaani ety kuwa na mpenz mmojaNakumbuka katuni za ujasiriamali, maigizo ya michoro na wasifu za watu maarufu waliokuwa wanawekwa front page, Bila kusahau hawa watu walisema ili kujikinga na ukimwi vaa condom kuwa na mpenzi mmoja ya wakwako isipokutosha ongeza na nyeto kwani haina madhara (msisitizo umeongezwa)
Umenikumbusha mbali Sana kitabu cha hadithi ya a Akili ya abunuwasi .nilikuwa na kitabu chake kimoja kinaitwa .Sufuria yako imezaa cha abunuwasi Long time agoBila kusahau MNARA WA MLINZI kwa sisi wakristu.
Miaka imeenda kasi sana.
Kuna jamaa posta, ana nakala za majarida na vijarida vya zamani mpaka ikabidi nimshangae.
Hadi hekaya za abunuwasi na bulicheka nimezikuta kwake
Shule gani hiyo Madame uliyokuwaga balozi wa FemaUmenikumbusha mbali sana.
Nilikuwa balozi wa Repro GTZ nikiwa sekondari O level. Yale majarida yaliyokuwa yanahusu ukuaji na maswala ya vijana kwa ujumla.
Nilikuwa mfuatiliaji na kila wiki napokea dazeni ya vitabu na mazaga kibao kutoka kwao ili kuwaelimisha wanafunzi wenzangu.
Kila mwisho wa mwezi napata ugeni wao.
Ila wanaume hawa...Mungu ndie ajuae.
Walinivurugia maarifa yangu yote
Sikuwa balozi wa Fema.Shule gani hiyo Madame uliyokuwaga balozi wa Fema