MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Ha ha ha ha jamaa kasimuliwa hapa anatuzuga kaishi enzi hizo....
Hizo collection Malcom Lumumba alikuwa anasikia m-sure wake akizipiga....sio yeye
...hiyo Ahsante Salim ndo nimeiskia kwake leo
....hahahahaha..we mwenyewe kwenye jibu lako la awali umeishia kusema 'nguo flani hivi';Umeona sasa!!
Hahahah wewe mkuda huzijui hazi makitu na ndopa ??
Bwhahahahaha, .........
....hahahahaha..we mwenyewe kwenye jibu lako la awali umeishia kusema 'nguo flani hivi';
..labda ukaulize tena
...hahahahaha.,Mwinyi kaingia 85 ujue?Zile kaptula za shule hukuwahi kuziona ???
Bwahahahahaa, nyie ndiyo awamu ya Mwinyii wakati kila kitu kipo Sober.
Zile zilikuwa kipindi Salim ni Waziri Mkuu!!! (Kabla hata ya Mwinyi)...hahahahaha.,Mwinyi kaingia 85 ujue?
...hahahahahahahaaa mkuda fwala sana ;Salim waziri mkuu?Zile zilikuwa kipindi Salim ni Waziri Mkuu!!!
Alitusaidia sana baada ya kulegeza mambo kidogo!!!
Ulikuwa wapi mkudaaaaaaaa ?????
😀😀😀
...hahahahahahahaaa mkuda fwala sana ;Salim waziri mkuu?
.ulikuwa bado karanga shambani wewe
Yes billy ocean namkubali sanaHii ilikuwa ndiyo miaka ya wakina Billy Ocean.......
Yes billy ocean namkubali sana
...hahahahaha..mkuda unajua sana kumeza;Mbona Salim kawa Waziri Mkuu 1984-1985 ???
Miaka ile ile tu, baada ya vugu vugu la Sokoine la Wahujumu Uchumi.
Wewe hata hulijui mkudaaaaaa! Hahahahahahaa
...hahahahaha..mkuda unajua sana kumeza;
...waokote kina dogo lako tamuuuu(afu hili jina kulitamka mpaka ubane pua ujue)
...umejitahidi sana 90Hahahahaha!.....Mkuda wewe unahisi mimi wa lini labda ???