Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Moja kati ya ngoma nilizokuwa nazikubali
1. Too close - Next
2. I wanna be your only one - intenal
2. It a parts- Busta Rhymes
3. Ooha haaa -Busta
4. Gangstaz paraise - Coolio
5. I've got 5 on it -Luniz
6. Califonia love-2pac
7. May way -Usher
8. How deep is love
9. X- xzibit
10. Set it off-equalize noise ft queen latifa
Hii generation ya kina Dre, Snoopp, 2pac kilitisha sana. Makundi kama SWV, Salt n Peper, Lost boyz, Boyz 2 men

Dah hiyo ilikuwa 90 kwa sasa tunaita oldskool.

RRONDO unamjua dada Nunchelant na ngoma yake 5 oclock in the morning. Mama ka flow mbaya.
 
Dah... Kitambo sana....nawakumbuka..hadi nasikia raha
I have only eyes for you -The flamingos
Oh Carol - Neil Sedaka
Oh what a night - The Dells
Take a message to Mary - Everly Brothers
Jambalaya
See you in September - The Tempos
Baby I love you - The Ronnetes
Save the last dance for me - The drifters.....
Bila kuwasahau
Delta rhythm boys na kitu ....Take the ''A'' train...
😀😀😀😀😀
 
1. TP Ok Jazz ya Rwambo
2. Viva la Musica ya Papa Wemba
3. Wenge Muzic BCBG 4x4
4. Empire Bakuba - Pepe Kale, akiwa na kina Emoro, Papytex etc
5. Kanda Bongo Man, huyu sikumbuki kundi lake lakini kuna mwaka alikuja na song la Mama Nabela, shika matiti na mwana, ai ai...
6. Bozi Boziana
7. Mbili Abeli (Mama yangu alikuwa anampenda huyu mama si mchezo, mpaka ikipigwa song lake lazima nyote mkae kimya aimbe mama tu kuufatishia muziki)
8. Baadae walikuja kina Extra Muzica, nakumbuka Oxygene na Roga Roga ndo walikuwa viongozi wa kundi.

Kila mwaka tulikuwa tunakaa kusikiliza nani katoa album nzuri, nani kafanya video nzuri, nani kafunika, mpaka baadae ukaja Mtindo wa Ndombolo (1996) ambao kila bendi karibia iliuimba, nakumbuka Wenge BCBG walifunika sana mpaka ikawa mwanzo wa kuvunja makundi.

Old is Gold.
Hapo kwenye namba 7, unamaanisha Mbilia bel?
 
Hapo kwenye namba 7, unamaanisha Mbilia bell?

Mkuu ndiye huyo, sijui hata spelling nimeandika kwa jinsi sound ya jina ilivyo.

Alikuwa na wimbo wa Choma majani, samaki nyama, au vyote unapenda, ooh, hata mara moja.

Nadina.
 
Back
Top Bottom