Izuu Zambia
Member
- Dec 17, 2017
- 23
- 19
GATHO kutoka zaire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...hiyo Ahsante Salim ndo nimeiskia kwake leoHa ha ha ha jamaa kasimuliwa hapa anatuzuga kaishi enzi hizo....
...furaha ya ujamaa itoke wapi kwa zile foleni za NMCHa ha ha ha kulia kwa furaha au huzuni?
Do not mix up. Bob Marley album yake ya mwisho 'Uprising imetoka 1981 hawa kina Fresh Prince walikuwa bado makinda sana.Survivor ya kidume Nesta Marley mpaka Leo still my favourite.
Kipindi hicho walikiki pia kina
Adina Howard
Mill va nill
Rocksette
Fresh prince (will smith)
Fugees
Kulikuwa na raha kwasababu ndiyo maisha tuliyoyajua...furaha ya ujamaa itoke wapi kwa zile foleni za NMC
..maisha kama jela;foleni
Hahahaha. Sawa ila mpaka majina anawajua.Hizo collection Malcom Lumumba alikuwa anasikia m-sure wake akizipiga....sio yeye
Hapo kwenye namba 7, unamaanisha Mbilia bel?1. TP Ok Jazz ya Rwambo
2. Viva la Musica ya Papa Wemba
3. Wenge Muzic BCBG 4x4
4. Empire Bakuba - Pepe Kale, akiwa na kina Emoro, Papytex etc
5. Kanda Bongo Man, huyu sikumbuki kundi lake lakini kuna mwaka alikuja na song la Mama Nabela, shika matiti na mwana, ai ai...
6. Bozi Boziana
7. Mbili Abeli (Mama yangu alikuwa anampenda huyu mama si mchezo, mpaka ikipigwa song lake lazima nyote mkae kimya aimbe mama tu kuufatishia muziki)
8. Baadae walikuja kina Extra Muzica, nakumbuka Oxygene na Roga Roga ndo walikuwa viongozi wa kundi.
Kila mwaka tulikuwa tunakaa kusikiliza nani katoa album nzuri, nani kafanya video nzuri, nani kafunika, mpaka baadae ukaja Mtindo wa Ndombolo (1996) ambao kila bendi karibia iliuimba, nakumbuka Wenge BCBG walifunika sana mpaka ikawa mwanzo wa kuvunja makundi.
Old is Gold.
Hapo kwenye namba 7, unamaanisha Mbilia bell?
...ah wapi,hakukuwa na raha yoyote!Kulikuwa na raha kwasababu ndiyo maisha tuliyoyajua
Watoto wa mabalozi wakirudi na raba mtoni kila mtu anataka awe pen pal. Enzi za get together...ah wapi,hakukuwa na raha yoyote!
..midabwada ina raha gani nambie
...hahahahaha.yule mzee alitubatiza kwa moto aisee,pamoja na mazuri yake mengine!Watoto wa mabalozi wakirudi na raba mtoni kila mtu anataka awe pen pal. Enzi za get together
Lakini na mwenyewe hakupenda makuu hata ile nyumba yake ya Msasani ilikuwa simple...hahahahaha.yule mzee alitubatiza kwa moto aisee,pamoja na mazuri yake mengine!
..tujipoze tu na mangoma;shusha mambo
...yeah sure!honestly vipo vya kumsifia,Lakini na mwenyewe haki penda makuu hata ile nyumba yake ya Msasani ilikuwa simple
Billy ocean
Donnie Warwick
Olivia ngoma
Muda huu naisikiliza colour of love ... muziki flan mzuriiCaribbean Queen-Billy Ocean
Nimetoka kuisikiliza jana usiku.