Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Kuna track moja ameimba Rakim,nas na wengine... siikumbuki jina ila kwenye video Rakim amevaa gwanda... beat nafikiri ni ya Premier...

Aseeh, it was dope mazee.
 
1970's na 80's zilikuwa nyimbo bora wahenga tuache maskhara

70's ndiyo ilikuwa moto sanaaa! Pure Talents (Lyrics were a priority)
80's mziki ulikuwa mkali lakini style, biti na video ziliwabeba sana watu......

Miaka ya 70's ulikuwa unasikia Lyrics kwanza,
Ndiyo maana mtu wa leo ukimpa muziki wa Lois Armstrong- What a wonderful World au Nina Simone- Sinnerman hawezi kupenda kabisa kama ambavyo anapenda Bon Jovi-Living on a prayer yenye Mdundo mkali.......
 
Mtaa wa saba

Jojina

Zali la mentali
Vuta subira utawapata ndugu zako tu, sasa hivi humu kila mtu amekuwa "YOU KNOW WARA AM SAYING"
Kipindi we bado unajipaka yale mafuta ya kula ya USA mwilini, wao walishaanza kutumia Bright light.
 
[emoji830]Bi Kidude
[emoji830]Frank na dada zake
[emoji830]Salim Abdallah
[emoji830]Mbaraka Mwinshehe
[emoji830]Amboni Jazz Band
[emoji830]Atomic Jazz Band
[emoji830]Tabora Jazz
[emoji830]Shakila
[emoji830]Juma Bhalo
[emoji830]Matano Juma
[emoji830]Mwenda Jean Bosco (Wa Bayeke)
[emoji830]Edward Masengo
[emoji830]George Mukabi
[emoji830]Skitter Davis (Njau)
[emoji830]Jim Reeves
[emoji830]The Jackson 5

Tulianza kuzikiliza kwenye GRAMAPHONE za kutia ufunguo.

This is when MEN were MEN na mabebi walidondoka tulipokuwa tunapita.
 
Teheheheh heheheh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], Umewaza nini mkuu? Kwenye hiyo sentensi ya mwisho.
 
Vuta subira utawapata ndugu zako tu, sasa hivi humu kila mtu amekuwa "YOU KNOW WARA AM SAYING"
Kipindi we bado unajipaka yale mafuta ya kula ya USA mwilini, wao walishaanza kutumia Bright light.
Umekosea, alikuwa hajazaliwa.
 
70's ndiyo ilikuwa moto sanaaa! Pure Talents (Lyrics were a priority)
80's mziki ulikuwa mkali lakini style, biti na video ziliwabeba sana watu......

Miaka ya 70's ulikuwa unasikia Lyrics kwanza,
Ndiyo maana mtu wa leo ukimpa muziki wa Lois Armstrong- What a wonderful World au Nina Simone- Sinnerman hawezi kupenda kabisa kama ambavyo anapenda Bon Jovi-Living on a prayer yenye Mdundo mkali.......
70's hits umezisikiliza hio 70's au 80-90s?
 
Back
Top Bottom