Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Papa Wemba mimi nilikuwa napenda ile NAOGOPA MKOROGO.....
 
Unapona kwa muda, unacheza muziki, ukiisha ndo unakumbuka kumbe unaumwa na mlikuwa mnaenda hospital.

Yaani mama alivyorudi aliniwasha balaa, maana alipita pale akaambiwa nimecheza then nikaondoka.
Kwenye kuchapa mama zetu enzi hizo walikuwa hawajali unaumwa au vipi! Kuna wakati inabidi ufiche kidonda kwa kuhofia fimbo, umezurula umekatwa na chupa unajua ukionesha utachapwa kwanza ndio upate tiba.
 
Hizi za kuficha vidonda zilikuwa ni hatari sana, yaani unaweza hata ukawa umeumia sana lakini husemi mpaka kujishtuka uko hoi sana.
 
michael jakson,
steven wonder
boby marley
jimmy reaves
lone rich
phil collins
kenny rogger
kanda bongoman
keith sweaty
etc
 
Hizi za kuficha vidonda zilikuwa ni hatari sana, yaani unaweza hata ukawa umeumia sana lakini husemi mpaka kujishtuka uko hoi sana.
Kuna kitu ilikuwa inaitwa mtoki(kama kidonda kipo mguuni unapata uvimbe juu kabisa ya paja) hii inaambata na homa lazima ushtukiwe.
 
Hadi leo one of the tracks zinazotrap kichwani ni hiyo...kitambo sifuatilii music kama mwanzo... walitengana wakaungana wakatengana tena.

Still wapo?
Yeah Crew Bado ipo.

But Phife Dog alifariki mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…