MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
...teh hee hee.ulivyo janja janja usikute hapo unajiita mwenyewe!
Aaaaah kwani mimi ni raia wa Rwanda ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...teh hee hee.ulivyo janja janja usikute hapo unajiita mwenyewe!
Duh wanyarwanda tena?Aaaaah kwani mimi ni raia wa Rwanda ???
...wachambawima si wapo Msangangongele huko,Aaaaah kwani mimi ni raia wa Rwanda ???
Hahahaha kipenda roho mkuuDuh wanyarwanda tena?
Aisee nazeeka ila I cant stop listening hip hop..sasa hivi nasikiliza Chronic...Aint nothing but a g thang! Kitu ya 1992 ila quality ya production inashinda hip hop za leo
Mchambawima si jina tu mkuda ??...wachambawima si wapo Msangangongele huko,
..kwani hata Rwanda wapo?
...ni jina ndio kama Wanyamwezi;Mchambawima si jina tu mkuda ??
...ni jina ndio kama Wanyamwezi;
..we mbona hujajiita umejiita jina la kitozi,Malcom
...teh hee hee unawajua Weusi Wagumu Asilia(WWA)??Mimi ndiyo jina langu halisi hilo.
Tunadum ah tunadum si wagum...teh hee hee unawajua Weusi Wagumu Asilia(WWA)??
Hebu nendeni nje mkacheze tuacheni babab zenu tujikumbushe enzi za ujana!
Wababu kwao kwenye bao Na vijiwe vya kahawa..sijui nyie mnafanya nini humu Kwa Vijana..Hebu nendeni nje mkacheze tuacheni babab zenu tujikumbushe enzi za ujana!
kilwa jazz,tabora jazz,msondo,lesi wanyika,franco,wenge bcbg,sukuzi star n.k hizi ndo nilizo nazoMimi nilikuwa nasikiliza sana Dr. Dre Chronic 1,2...Snoop Dogg Doggy Style...Fabolous....Tupac All Eyes on Me....Warren G Regulate...Jay Z Blue Print Vol 1,2,3...Naughty by Nature O.P.P. Hip Hop Hooray
Enzi hizo hamna ku download mwendo cd au tape za ku-rewind na kalamu
View attachment 653858
Hahaha kwako kwenye kahawa babu hapa kwetu.Mitoto ya siku hizi haisikii kabisa!!
Hebu wewe nenda kasikilize "bata kavaa raizoni kuku kapanda baiskeli"Hahaha kwako kwenye kahawa babu hapa kwetu.