Kwa Wale Wajuzi Wa Cement Bora

Wakuu

Naomba kujua Mfuko mmoja wa Cement unatoa tofali ngapi(imara)?!

Na upande wa kuchanganya mchanga...
Utajuaji kiasi halisi ya mchanga na Cement mfk 1 ili utoe idadi uitakayo ya tofali...?!

Shukran sana
 
mfuko mmoja 45 tofali standard japo waeza toa chini ya hizo.... mfano 6" zinatoka 35 kwasababu ya size....
japo kuna wachina wanatoa tofali 20 kwa mfuko sema gharama 5" 1pc tsh 3500
 
white cement ni kwa ajili ya kuskimia
unavyosema ya kutereza unamaanisha upige pasi baada ya kumaliza au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…