Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mtaji wa eneo la ekari 6 na store hapohapo... shamba limezungukwa na mto wenye maji kipindi chote cha mwaka.... uwekezaji waweza kuwa wa nyanya, hoho, karoti, mahindi ya muda mfupi na mazao mengine ya muda mfupi kwa njia ya umwagiliaji.... sehemu mradi ulipo ni kahe, kilimanjaro..
Sina mtaji wa fedha nilihitaji partiner mwenye fedha tushirikiane....