Kwa wale wakulima wa mbogamboga hii itawasaidia

Hii kitu ni nzuri sana. Mtoa mada ubarikiwe..
 
Kwa mavuno mengi na mazuri try GREENHOUSE. Natoa huduma ya Kukufungia Greenhouse ya bei nafuu kabisa. 8m by 18m with complete Drip irrigation system & 1000lt Tank plus Free Extension Service for 3month kwa TSHS.3,200,000/- ONLY. just call 0772668500
 
Nina mtaji wa eneo la ekari 6 na store hapohapo... shamba limezungukwa na mto wenye maji kipindi chote cha mwaka.... uwekezaji waweza kuwa wa nyanya, hoho, karoti, mahindi ya muda mfupi na mazao mengine ya muda mfupi kwa njia ya umwagiliaji.... sehemu mradi ulipo ni kahe, kilimanjaro..
Sina mtaji wa fedha nilihitaji partiner mwenye fedha tushirikiane....
 

We nipigie 0766929817 nipate namba yako tupange mkakati, maana ninahitaji hiyo project.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…