Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 201
- 116
Hivi ni dalili gani za mtu anayekuwa na kipara, Naona kama vile nanyemelewa na kipara na ni sababu gani za mtu kuwa na kipara......
Nywele za kichwa ktk utosi zinawasha,Ndoto nyingi nyingi usiku. Na hii nimegundua nilipoenda kunyoa kinyozi akaniambia kipara kinaninyemelea
Hivi kuna sababu yoyote ya mtu kuwa na kipara; wengine wanasema eti kipara ni hekima, busara, kufanya kazi za kutumia akili nyingi sana, na nyinginezo hapo kuna ukweli wowote?