Kwa wale walio na vipara, nini dalili za kuwa kipara...

Kwa wale walio na vipara, nini dalili za kuwa kipara...

Forecaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
201
Reaction score
116
Hivi ni dalili gani za mtu anayekuwa na kipara, Naona kama vile nanyemelewa na kipara na ni sababu gani za mtu kuwa na kipara......

Nywele za kichwa ktk utosi zinawasha,Ndoto nyingi nyingi usiku. Na hii nimegundua nilipoenda kunyoa kinyozi akaniambia kipara kinaninyemelea

Hivi kuna sababu yoyote ya mtu kuwa na kipara; wengine wanasema eti kipara ni hekima, busara, kufanya kazi za kutumia akili nyingi sana, na nyinginezo hapo kuna ukweli wowote?
 
style yako ya kunyoa soon itakua kipara
 
IMG_20170616_152655.jpg
 
Umesoma sana ama Utakuwa ni mwizi kazini kwako (unatumia akili nyingi kuiba)

Hekima anazo mzee Mwinyi na hana Kipara..
 
Mkuu unakaribia kuwa mhenga

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom