Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 201
- 116
kuna uwezekano katika hili maana mimi nina manywele mwili mzima kama sokwe lakini kichwani kweupe pee.Asilimia kubwa ya wenye sharubu ni lazima wawe na kipara baadaye
Hakika wew ni fisi majikuna uwezekano katika hili maana mimi nina manywele mwili mzima kama sokwe lakini kichwani kweupe pee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dalili za utahira, rejea ule msemo," Akili ni nywele.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol umeniacha hoi!!Kama ni ndoto,basi unaota acacia,
WENYE vipara wana gold vichwan mwao,jipange kuwa rasilimali
πππDalili za utahira, rejea ule msemo," Akili ni nywele.....
Hakika wew ni fisi maji