Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo kozi ni nzuri sana ila wewe kama ni kilaza nakushauri usiombe hyo kozi pale udsm,department yake ina walimu wenye roho mbaya balaa.vinginevyo jiandae kupata Gpa za 1.8 na kuishi kwa stress muda wote.kama vip omba kozi za udbs atleast walimu wao wako fair.
aisee...ni miaka yote wapo hivyo au?

Karibu sana dogo,utatukuta kaka zako tunakusubiri.ila jiandae kuishi maisha yenye stress muda wote,maana hyo department ya economics kama alvosema mkuu seneta001 hapo juu,ni kweli ina walimu watata sana,ambao wao kukupa 0/20 co jambo la kushangaza.
Dharau zao ni kwasababu wanajua wanakuja kuajiriwa TRA? Or whatever place ? Inashangaza sana yani wewe umeenda kusoma nje then unakuja kutafuta kazi? Sasa ubora wa elimu ya huko uko wapi? Kama wanaelimu bora wangefanya vitu vyenye impact kwenye jamii..tusikie ebana kuna vijana wametoka OSMANIA UNIVERSITY ni vijana wadogo wanafanya mambo makubwa..sasa wanaona ufahari kua waajiriwa..kweli wamekariri madesa tu huko walikoenda kulipa pesa nyingi za tuition fee...!!hahahahahaha..mziki wa udsm sio wa kitoto...kuna madogo waliongoka bongo baada ya kukosa vyuo hapa tz wakaenda OSMANIA university India, wote wame rudi na First Class GPA, na wana dharau vyuo vya bongo sababu hata TRA wana waconsider..kama unavyo jua huwa TRA wana penda first class.
Dharau zao ni kwasababu wanajua wanakuja kuajiriwa TRA? Or whatever place ? Inashangaza sana yani wewe umeenda kusoma nje then unakuja kutafuta kazi? Sasa ubora wa elimu ya huko uko wapi? Kama wanaelimu bora wangefanya vitu vyenye impact kwenye jamii..tusikie ebana kuna vijana wametoka OSMANIA UNIVERSITY ni vijana wadogo wanafanya mambo makubwa..sasa wanaona ufahari kua waajiriwa..kweli wamekariri madesa tu huko walikoenda kulipa pesa nyingi za tuition fee...!!
Karibu sana dogo,utatukuta kaka zako tunakusubiri.ila jiandae kuishi maisha yenye stress muda wote,maana hyo department ya economics kama alvosema mkuu seneta001 hapo juu,ni kweli ina walimu watata sana,ambao wao kukupa 0/20 co jambo la kushangaza.
Sasa first class UDSM ni za kusikia..aisee majority ni lower...so automatically hawawi eligible..mm lengo langu ilikuwa ni kujaribu kuonyesha udsm walivyo vizuri na pia nilijaribu kuwabeza TRA kwa kuajiri watu kwa kigezo cha first class.
mkuu perry mda mrefu cjakuona ukikoment kumbe upo au maprofesa waliwapangia ma assigment ya kufa mtu.