kwa wale walio omba BA economics UDSM....

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,034
Reaction score
6,571
hlw...wana Jf
kwa wale walio omba course ya BA ECONOMICS UDSM naombeni kujua idadi ya walio omba hiyo course na capacity ya chuo...please
 
i meant walio omba mwaka huu thru TCU.....
 
Hyo kozi ni nzuri sana ila wewe kama ni kilaza nakushauri usiombe hyo kozi pale udsm,department yake ina walimu wenye roho mbaya balaa.vinginevyo jiandae kupata Gpa za 1.8 na kuishi kwa stress muda wote.kama vip omba kozi za udbs atleast walimu wao wako fair.
 
aisee...ni miaka yote wapo hivyo au?
 
Hyo kozi ni nzuri sana ila wewe kama ni kilaza nakushauri usiombe hyo kozi pale udsm,department yake ina walimu wenye roho mbaya balaa.vinginevyo jiandae kupata Gpa za 1.8 na kuishi kwa stress muda wote.kama vip omba kozi za udbs atleast walimu wao wako fair.

Hivi Ossoro bado yupo? My comrade!!! Hope atakuwa ameshastaafu ila wakati wake alisumbua sana watu na madesa yake ya kukariri na mifano ya USA!!! Wapi na wapi!!! Rutasitara alishaondoka, Mpango aliondoka na Mwinyimvua!!! Kina Mkenda, walikuja majuzi tu. One time nilisika alikuwa HOD ya Economics!! Yankees wa sasa tupeni habari zao. Economics is the best ila ufaulu tu!!! Utafurahia sana ukiwa na first na Upper Second!!
 
Hyo kozi ni nzuri sana ila wewe kama ni kilaza nakushauri usiombe hyo kozi pale udsm,department yake ina walimu wenye roho mbaya balaa.vinginevyo jiandae kupata Gpa za 1.8 na kuishi kwa stress muda wote.kama vip omba kozi za udbs atleast walimu wao wako fair.

sizani kama udsm huwa wana chukuwa vilaza!
 
shida yangu nijue...watu walio omba hiyo course, yani first choice, total applcnt,eligible...
 
Karibu sana dogo,utatukuta kaka zako tunakusubiri.ila jiandae kuishi maisha yenye stress muda wote,maana hyo department ya economics kama alvosema mkuu seneta001 hapo juu,ni kweli ina walimu watata sana,ambao wao kukupa 0/20 co jambo la kushangaza.
 
hahahahahaha..mziki wa udsm sio wa kitoto...kuna madogo waliongoka bongo baada ya kukosa vyuo hapa tz wakaenda OSMANIA university India, wote wame rudi na First Class GPA, na wana dharau vyuo vya bongo sababu hata TRA wana waconsider..kama unavyo jua huwa TRA wana penda first class.
 
kwanza kacheki kama haumo kwenye majina 8805 wanaopaswa kufanya second application.
 
hahahahahaha..mziki wa udsm sio wa kitoto...kuna madogo waliongoka bongo baada ya kukosa vyuo hapa tz wakaenda OSMANIA university India, wote wame rudi na First Class GPA, na wana dharau vyuo vya bongo sababu hata TRA wana waconsider..kama unavyo jua huwa TRA wana penda first class.
Dharau zao ni kwasababu wanajua wanakuja kuajiriwa TRA? Or whatever place ? Inashangaza sana yani wewe umeenda kusoma nje then unakuja kutafuta kazi? Sasa ubora wa elimu ya huko uko wapi? Kama wanaelimu bora wangefanya vitu vyenye impact kwenye jamii..tusikie ebana kuna vijana wametoka OSMANIA UNIVERSITY ni vijana wadogo wanafanya mambo makubwa..sasa wanaona ufahari kua waajiriwa..kweli wamekariri madesa tu huko walikoenda kulipa pesa nyingi za tuition fee...!!
 
mm lengo langu ilikuwa ni kujaribu kuonyesha udsm walivyo vizuri na pia nilijaribu kuwabeza TRA kwa kuajiri watu kwa kigezo cha first class.
 
Karibu sana dogo,utatukuta kaka zako tunakusubiri.ila jiandae kuishi maisha yenye stress muda wote,maana hyo department ya economics kama alvosema mkuu seneta001 hapo juu,ni kweli ina walimu watata sana,ambao wao kukupa 0/20 co jambo la kushangaza.

mkuu perry mda mrefu cjakuona ukikoment kumbe upo au maprofesa waliwapangia ma assigment ya kufa mtu.
 
mm lengo langu ilikuwa ni kujaribu kuonyesha udsm walivyo vizuri na pia nilijaribu kuwabeza TRA kwa kuajiri watu kwa kigezo cha first class.
Sasa first class UDSM ni za kusikia..aisee majority ni lower...so automatically hawawi eligible..
 
mkuu perry mda mrefu cjakuona ukikoment kumbe upo au maprofesa waliwapangia ma assigment ya kufa mtu.

mkuu,sie tumefunga muda mrefu sana,ila kuna kama wk mbili zilizopita nilikula BAN kwa kosa la kuifananisha dini flani na ugaidi.ila nimerudi na nimejirekebisha.so pamoja sana mdau.
 
Sasa first class UDSM ni za kusikia..aisee majority ni lower...so automatically hawawi eligible..

ni kweli mkuu...ila TRA wanavyo fanya sio vizuri.
 
Back
Top Bottom