Kwa wale walio soma muheza high school

Kwa wale walio soma muheza high school

Msurinyoka

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
51
Reaction score
4
Ndugu zangu greter thinker naomba msaada kuhusu ufaulu wa muheza high school kwa anaefahamu naomba anifahamishe detail za shule hii na ubora wake.wana jf napenda kuwasilisha hoja.
 
Back
Top Bottom