GK Francis
Member
- Aug 16, 2013
- 17
- 0
kwa kifupi mnakuomba badili kwani chuo kwanza kina ada kubwa sana, wahadhiri waliopo wengi hawana sifa, pia chuo kinaendeshwa kwa ubabe , kikabila yaani kisambaa sambaa kwa kifupi kama hata umebakiza shilingi mia you can not be allowed to sit for ue then the reality this university sio kabisa cha kusoma hakina hata profesa mmoja docta
watatu