GK Francis
Member
- Aug 16, 2013
- 17
- 0
Kwanza nawapongeza sana kwa kuchaguliwa chuo hiki ambacho kinafanya vizuri ktk utoaji wa Shahada na Shahada ya Uzamili ktk Elimu Maalum.
KARIBUNI SANAAAA!
KARIBUNI SANAAAA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kifupi mnakuomba badili kwani chuo kwanza kina ada kubwa sana, wahadhiri waliopo wengi hawana sifa, pia chuo kinaendeshwa kwa ubabe , kikabila yaani kisambaa sambaa kwa kifupi kama hata umebakiza shilingi mia you can not be allowed to sit for ue then the reality this university sio kabisa cha kusoma hakina hata profesa mmoja docta
watatu