Kwa wale waliofanya mazoezi ya Kegel na wakapona naombeni ushauri

Reposted 17th Jan 2021

Uzi wa hivi upo JF siku nyingi

Thanks anyway kwa kuwakumbusha wadau.
 
Matokeo halisi baada ya miezi 6! Bora vumbi la kongo matokeo ndani ya masaa machache.
 
Okay ngoja nifanye maana kuna mke wa mtu nimepanga kupita nae This year Mumewe yupo Dodoma familia kaiacha huku
Sawa, ila sasa mnapokutana pamoja na mambo mengine basi mumkumbuke huyo Mumewe kwa maombi maana yupo huko Dodoma kutafuta ada za Watoto na mahitaji mengine ya familia.
 
Wewe unahangaika kuboresha maisha yako,
Yupo mwehu mmoja sehemu fulani anapigana ili wewe usitoboe.

Kweli Dunia uwanja wa fujo.

..............Mitano tena kisha Saba tafadhali.
 
Ukitaka zoezi liwe vizuri zaidi, bana kisha wakati huo unapiga squat (zoezi la kusimama na kuchuchumaa).

Usisahau tendo la ndoa kwa asilimia kubwa ni utulivu wa akili (psychologically uwe huru, siyo unawaza mengine)
 
Hii ishu ya vumbi la Congo ni dhana potofu tu wala hakuna cha msingi hapo, ni yale yale ya supu ya pweza, karanga na nazi, alkasusu n.k....ujinga ujinga tu kwa mambo yasiyo na ufafanuzi wowote wa kipi haswa hufanyika kwenye mwili wa Mtu anapoitumia.

Ni bora hata hizo Viagra zenye maelezo ya kitaalamu yanayo make sense..

Ila ningewashauri sana Wandugu tuepukane na visaidizi vyovyote mnavyoletewa maana Yeye aliyetuumba kautengenezea mwili na kuupa kila kitu kinachohitajika kutekeleza majukumu yake...mambo mengine ni ya kisaikolojia tu na lishe nzuri.

Huku kutojiamini ndio mnageuzwa "Machuma ulete" wa Wajanja....maana siku hizi utamsikia eti Mtu anatoa ushuhuda madhabahuni kuwa alikua dhoofuihali nyumbani ila baada ya kutumia mafuta ya upako sasa amekuwa shababi.
 
Kuna kiyu sjaelewa,hayo matokeo ni yapi?
 
Ukitaka zoezi liwe vizuri zaidi, bana kisha wakati huo unapiga squat (zoezi la kusimama na kuchuchumaa).

Usisahau tendo la ndoa kwa asilimia kubwa ni utulivu wa akili (psychologically uwe huru, siyo unawaza mengine)
Mmmmh, sidhani aisee, si utauchana huo msuli wenyewe sasa
 
Kuna kiyu sjaelewa,hayo matokeo ni yapi?
Usimamishaji imara wa uume pamoja na kumwaga pale unapoamua wewe kumwaga, maana ukicontrol msuli wa PC basi unacontrol umwagaji wako pale unapoamua wewe, maana huo msuli ndio hufyatua mbegu
 
Uko vizuri Mkuu πŸ‘πŸ½
KG hata wanawake walozaa au walotumika sana au tu anayetaka kubana Papuchi, ndio inawafaaa sana .

Fanya KG... Piga mazoez ya mwili, kula matunda hasa parachichi, karanga, kunywa maji mengi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…