Kwa wale waliokosa mkopo HESLB

Kwa wale waliokosa mkopo HESLB

EJay

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
693
Reaction score
172
Poleni ndugu zangu mliokosa mkopo hiyo ndio hali halisi ya Tanzania ila nina maswali kidogo kwenu,nani kati yenu amesoma shule za serikali toka chekechea hadi form six? kama upo na umekosa basi appeal lakini kama umechanganya na st.nani (private)sahau mkopo.
wasiwasi wangu wengi wenu mliokosa mmesoma private schools.
poleni sana wadogo zangu.
 
Mh! Umeibukia wapi.!!
Wa2 2shagasahau.!?
 
Mh! Umeibukia wapi.!!
Wa2 2shagasahau.!?

mkuu,nipo tu ila malalamiko mbona mengi tu hapa jukwaani pia nilitaka kujua kama kuna "st kayumba" waliokosa kwa sababu ninaowafahamu walijituma sana katika mazingira magumu ya shule za kata na leo wanakula(heslb)kivulini...
 
Jamani kesho ndo tunaelekea kwa mh.Rais kumalizia kipolo cha mpaka kieleweke,tumektana na uongozi wanaohuska tumeambiwa rais ametoka ameelekea pwani hvyo tukaambiwa kurudi kesho saa tatu.mnaombwa wote kufka na kuonyesha umoja we2. Nawasilisha
 
2nakutana wap?
 
Wizara ya elimu mbele yake ndo kuna ofsi ya rahs,kama kuna watu unawafahamu plz wahabarishe .hz ni harakati za MTOTO WA MASIKINI.
 
Poleni ndugu zangu mliokosa mkopo hiyo ndio hali halisi ya Tanzania ila nina maswali kidogo kwenu,nani kati yenu amesoma shule za serikali toka chekechea hadi form six? kama upo na umekosa basi appeal lakini kama umechanganya na st.nani (private)sahau mkopo.
wasiwasi wangu wengi wenu mliokosa mmesoma private schools.
poleni sana wadogo zangu.

nani kakwambia aliyesoma private hapati mkopo!!! achana na ii nchi kabisa, watoto wengine wa vigogo na uwezo wa wazazi wao kiuchumi unafahamika lakini wanapata mkopo wengine ni yatima na vithibitisho vyote vinaonyesha lakini wanakosa!!
 
yea ni kweli wapo watoto wa vigogo wamepata mkopo akiwemo riz enzi baba akiwa waziri wa nje,pia sasa hivi wapo ninaowafahamu wako udsm.
 
Back
Top Bottom