mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
sasa inakuaje kwa sisi tulokua sio wanachama wa NHIF ?kama ni mwanaachama waa NHIF unareport na kitambulisho
sasa inakuaje kwa sisi tulokua sio wanachama wa NHIF ?
sasa inakuaje kwa sisi tulokua sio wanachama wa NHIF ?
sasa inakuaje kwa sisi tulokua sio wanachama wa NHIF ?
Andaa 50,000/= hii ni lazima mkuuu
Kuna watu walivunga kuibana lkn ulikuwa haufanyiwi registration bila kutoa nakala ya NHIF card au bila kulipia hiyo hela
Wale wa MUHAS Tutakutana natutagawiana hii Huduma ukifika chuoni ulizia njunwa-IT-Daktare watakuonyesha
Utawekewa Windows Bure kwwenye computer yako
uta unlock modem yako kwa sh 5000/=
Utawekewa UNlimited internet kwa sh 10,000/=
Life la MUHAS bila tutorial za YOUTUBE utaumia kwa kukaza na uelewa wako utakuwa mdogo sana
Sipo kibiashara zaidi anywayz kila mtu na style yake ya kusoma
Mfano wale mtakao Pangiwa MD na DDS pale Muhimbili Kuna kitu cha CADAVER(Disection of DEAD bodies)
Hii disection huwa hamna Teacher wa kukuelekeza mnasoma Vitabu na kuangalia Tutorial Youtube jinsi vyuo vya Ughaibuni wanavyofanya
KARIBU SANA
Kwa hio ukilipa hio hela hawakuzingui tena ?
Nilikua nacheki PROSPECTUS ya MUHAS nikakuta hio instruction : All students will have to join or show evidence that they are members of National Health Insurance Fund or other similar fund at the time of registration kwa wale ambao ni undergraduate wapya so naomba mnijuze maana yake ni nini ?