Kwa wale waliokuepo MUHAS msaada

Kwa wale waliokuepo MUHAS msaada

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Nilikua nacheki PROSPECTUS ya MUHAS nikakuta hio instruction : All students will have to join or show evidence that they are members of National Health Insurance Fund or other similar fund at the time of registration kwa wale ambao ni undergraduate wapya so naomba mnijuze maana yake ni nini ?
 
kama ni mwanaachama waa NHIF unareport na kitambulisho
 
sasa inakuaje kwa sisi tulokua sio wanachama wa NHIF ?

Itabidi ulipie ili kupata bima ya matibabu. Ila ujue tu kuwa hadi uipate kadi pale chin kwa matron wenu, mwaka wa kwanza utakua umeisha!

Halafu itakua imekosewa jina,marekebisho yanaweza kukuchukua takriban miezi mitatu! So wakati unasoma pathology, hiyo ni mwaka wa pili semester ya pili sasa, ndio utakua na kadi yako!
 
Wale wa MUHAS Tutakutana natutagawiana hii Huduma ukifika chuoni ulizia njunwa-IT-Daktare watakuonyesha
Utawekewa Windows Bure kwwenye computer yako
uta unlock modem yako kwa sh 5000/=
Utawekewa UNlimited internet kwa sh 10,000/=

Life la MUHAS bila tutorial za YOUTUBE utaumia kwa kukaza na uelewa wako utakuwa mdogo sana
Sipo kibiashara zaidi anywayz kila mtu na style yake ya kusoma

Mfano wale mtakao Pangiwa MD na DDS pale Muhimbili Kuna kitu cha CADAVER(Disection of DEAD bodies)
Hii disection huwa hamna Teacher wa kukuelekeza mnasoma Vitabu na kuangalia Tutorial Youtube jinsi vyuo vya Ughaibuni wanavyofanya

KARIBU SANA
 
Sasa mkuu kuhus card ya Nhif vp sasa tueleze basi
 
Nilikua nacheki PROSPECTUS ya MUHAS nikakuta hio instruction : All students will have to join or show evidence that they are members of National Health Insurance Fund or other similar fund at the time of registration kwa wale ambao ni undergraduate wapya so naomba mnijuze maana yake ni nini ?

Kwanza National health insurance fund maana yake ni Mfuko wa taifa wa bima ya afya, And or other similar inawezekana usiwe mfuko wa taifa wa bima ya afya, lakini ukawa unaringana na mfuko wa taifa wa bima ya afya, Kwa hiyo wanafunzi wote wanatakiwa kujiunga katika mfuko huo au waonyeshe vithibitisho kuwa wao ni members wa mfuko wa taifa wa bima ya afya au unaofanana na huo.
 
Kwa kifupi hiyo ni business deal la chuo. Wanafunzi wanashurutishwa kujiunga na mfuko huo wa bima ya afya na bila ya kuwa member humo lazima watakuzingua mpaka uwe umejiunga. Kwa nini wanafanya hivyo: Chuo kama chuo kinapata commission kwa kuingiza wanafunzi wengi kwenye mpango huo wa bima ya afya. Ukiangalia kwa makini utakuta kuna vyuo vingine hata ukienda na bima nyingine kama AAR, Strategis, Momentum na nyinginezo watakataa na kukulazimisha kuingia NHIF ili mradi tu wahakikishe wanapata hiyo commision.
Hizi ni biashara za watu. Ingawa bima is just a personal choice, some are compelled to use what they wouldnt choose in their free will.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom