Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Na hakuna option ya ku-delete nyuzi😁😁
Wanasema BICHWA KOMWE - anapiga miguu yote kama maradonaWhat is going on?
BICHWA KOMWE- demu wa magayo au?Wanasema BICHWA KOMWE - anapiga miguu yote kama maradona
Analika kama embe ng'ong'o
Anapiga au anapigwa?Wanasema BICHWA KOMWE - anapiga miguu yote kama maradona
Siwezi kuanzishia uzi upinde mimi. Nina vitu vyangu speshooo.Huuu uchokozi wa wazi wazi🤣🤣
Gunner11
Tatizo hukubaliwi huku🤣jaribu kushift
Aisee we dogo, unataka nianze kuku weka kwenye kundi la washenzi?Tatizo hukubaliwi huku🤣jaribu kushift
Haeleweki, ila yeye anajinasibu kwamba anapigwa ila Kuna muda nayeye anaziomba😁Anapiga au anapigwa?
Don't try me afu koma kuniita dogoAisee we dogo, unataka nianze kuku weka kwenye kundi la washenzi?