Kwa wale waliopata mkopo kutoka hlssf?

Kwa wale waliopata mkopo kutoka hlssf?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kuna ambae tayari amewekewa pesa,maana walisema wataanza kuwawekea pesa watu kwenye account zao tarehe 20/november?au ndo wamewatapeli watu bcoz ukipiga hata namba zao hazipokelewi?
 
Hapo mmetapeliwa tu,hakuna cha kupewa mkopo wala wifi yake na mkopo..chezea wabongo weye!
 
Sidhani kama kuna pesa mtakayopewa hapo,hata mie nahisi mtakua mmetapeliwa!!
 
wanadai kuwa ni mpaka 20 dec sasa sijui tuelewe nini hawa jamaa?

sasa hapo watakua wamewasaidia nin kama mkopo utapewa karibu na semister inaisha,au wenyewe lengo la mikopo yao ni nin hasa?hao watu kuweni makini nao sana..
 
Kuna ambae tayari amewekewa pesa,maana walisema wataanza kuwawekea pesa watu kwenye account zao tarehe 20/november?au ndo wamewatapeli watu bcoz ukipiga hata namba zao hazipokelewi?

kuna jamaa niko nae hapa mabibo,walimuandikia eti amepata laki 8,lakini mpaka leo a/c yake inasoma 0 balance..hao jamaa waliamua 2 kuwalia buku 20 zenu mkuu.
 
Aisee selikali haiwaini hawajamaa kua waldanganya?? eti boom mpaka December??? wizi huu aisee
 
Aisee selikali haiwaini hawajamaa kua waldanganya?? eti boom mpaka December??? wizi huu aisee

watu walíingia kichwa kichwa wakidhani ndo wamepata kumbe ndo wamepatikana..chezea wabongo weye!we umeona wapi mkopo unamfikia mlengwa december,hiyo ada atalipaje au chuo ataishije bila kuwa na pesa?
 
Mimi machale yalicheza kitambo sana na hawa jamaa!
 
Tumeibiwa jaman!majamaa hayataki hata kupokea calls zetu saa hzi.
 
wezi jamani wezi hao hata mimi nimeibiwa sikubali wanirudishie elfu thelathini zangu
 
Mkome kupapatikia watu msiowajua.
 
Desemba imefika na kupita, je wanatoa majibu gani?
 
Hvi bado kuna mtu anahangaika tu na hawa matapeli?
 
Back
Top Bottom