pottasium
Member
- Aug 30, 2013
- 91
- 5
Nakumbuka nipokuwa nasoma advance kila mtu alikuwa anasema kombi anayosoma ni ngumu na ni bora kuliko kombi zingne na inatoa sana kimaisha .Haya mm sikatai kuwa kila kitu ni kigumu na kinatoa kimaisha ila ukwel ni kuwa vyote ni bora na vigumu ila lazima vinazidiana kwa asilimia japo zinaweza zicwe nying je ww kwa mtazamo wako unaona kombi gani ni bora ,ngumu na inatoa sana kimaisha na kwa nn kaz kwako mwanajamii