Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Comb mbovu ni HGK kwani haina ushirikiano kabisa wa hayo masomo bora ingefutwa kwny comb za arts ili zibakie HGL &HKL.
heheh duh ngoja waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comb mbovu ni HGK kwani haina ushirikiano kabisa wa hayo masomo bora ingefutwa kwny comb za arts ili zibakie HGL &HKL.
nakumbuka nipokuwa nasoma advance kila mtu alikuwa anasema kombi anayosoma ni ngumu na ni bora kuliko kombi zingne na inatoa sana kimaisha .haya mm sikatai kuwa kila kitu ni kigumu na kinatoa kimaisha ila ukwel ni kuwa vyote ni bora na vigumu ila lazima vinazidiana kwa asilimia japo zinaweza zicwe nying je ww kwa mtazamo wako unaona kombi gani ni bora ,ngumu na inatoa sana kimaisha na kwa nn kaz kwako mwanajamii
wewe mtoto acha kudanganya vijana wenzio nani alikuambia hazijawahi tokea division 1 pts 3 za hizo combinations....ngoja tukupe data coz hapa ndo JF msiwe mnakurupuka kupost bila kufanya research......
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0119/0664
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 22%"]PETER URIO
[/TD]
[TD="width: 6%"]3
[/TD]
[TD="width: 4%"]I
[/TD]
[TD="width: 58%"]G/STUDIES-S PHYSICS-A CHEMISTRY-A BIOLOGY-A BAM-S
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
haya sasa huyo ni wa PCB amemaliza Kibaha 2011 yupo Muhimbili now anasoma Pharmacy mwingine ni David Mwasota kibaha pia alipata hiyo div 1 pts 3.....pia kuna jamaa anaitwa Martin Chegere Pugu mwaka 2007 alipata div 1 pts 3 EGM...and kuhusu ECA fuatilia vizuri afu uje na data hapa msipende kupotosha wenzenu
Nakumbuka nipokuwa nasoma advance kila mtu alikuwa anasema kombi anayosoma ni ngumu na ni bora kuliko kombi zingne na inatoa sana kimaisha .Haya mm sikatai kuwa kila kitu ni kigumu na kinatoa kimaisha ila ukwel ni kuwa vyote ni bora na vigumu ila lazima vinazidiana kwa asilimia japo zinaweza zicwe nying je ww kwa mtazamo wako unaona kombi gani ni bora ,ngumu na inatoa sana kimaisha na kwa nn kaz kwako mwanajamii
Mi mwenyeweEGM nimeweka 1.3 now npo SUA informatics and mathematics naenda kupiga code mwanzo mwisho,