Kwa wale waliopita advance na walioko

pottasium

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
91
Reaction score
5
Nakumbuka nipokuwa nasoma advance kila mtu alikuwa anasema kombi anayosoma ni ngumu na ni bora kuliko kombi zingne na inatoa sana kimaisha .Haya mm sikatai kuwa kila kitu ni kigumu na kinatoa kimaisha ila ukwel ni kuwa vyote ni bora na vigumu ila lazima vinazidiana kwa asilimia japo zinaweza zicwe nying je ww kwa mtazamo wako unaona kombi gani ni bora ,ngumu na inatoa sana kimaisha na kwa nn kaz kwako mwanajamii
 
kombi bora ni ile iliopo kweny moyo wako.huwez enda ubungo na kuuliza watu 'nataka safiri nipande bas lip?,wakat watu hawajui uendapo.watakupandisha la mbeya badala la mosh.comb unayoweza wewe kwa wengne ngumu.ila kwa ujumla comb tiit ni zile ambayo haijawah tokea one ya 3.
 
Kweli mada zimeisha ivi kuna umuhimu gani wa kupost ata kama huna topic za msingi.
 

mkuu nasikia ECA haijatoaga I ya 3. wanaofaulu sana wanaanziaga point 4
 
mkuu nasikia ECA haijatoaga I ya 3. wanaofaulu sana wanaanziaga point 4

ingine ni EGM jaribu kuangalia wengi wa wanaopata 1pt 3 wanabebwa na masomo mengine kama Divinity au computer studies
 
hakuna comb bora kuliko nyingine zote zina umuhimu wake ndo maana waliziweka Zifundishwee..
 
Kwa tetesi nilizo sikia kua eca 1.3 mara ya mwisho ilitoka mwaka 1992. A ya commerce ndo tatizo
 
ya,eca,pgm,pcb one ya 3 haijawah,egm wanabebwa na masomo mengne kama divinity ndo wanapata ya 3 la sivyo mtiti
wewe mtoto acha kudanganya vijana wenzio nani alikuambia hazijawahi tokea division 1 pts 3 za hizo combinations....ngoja tukupe data coz hapa ndo JF msiwe mnakurupuka kupost bila kufanya research......
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0119/0664
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 22%"]PETER URIO
[/TD]
[TD="width: 6%"]3
[/TD]
[TD="width: 4%"]I
[/TD]
[TD="width: 58%"]G/STUDIES-S PHYSICS-A CHEMISTRY-A BIOLOGY-A BAM-S
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

haya sasa huyo ni wa PCB amemaliza Kibaha 2011 yupo Muhimbili now anasoma Pharmacy mwingine ni David Mwasota kibaha pia alipata hiyo div 1 pts 3.....pia kuna jamaa anaitwa Martin Chegere Pugu mwaka 2007 alipata div 1 pts 3 EGM...and kuhusu ECA fuatilia vizuri afu uje na data hapa msipende kupotosha wenzenu
 

Great thinker
 

Boss wewe ni noma.
 
ingine ni EGM jaribu kuangalia wengi wa wanaopata 1pt 3 wanabebwa na masomo mengine kama Divinity au computer studies

EGM tena?umesahau tanzania one form six 2007 MARTINE CHEGERE wa PUGU BOYZ aliweka pnt 3 na alikuwa EGM na wala hakukuwa na masomo ya dini shuleni kwetu hapo!
 
Comb mbovu ni HGK kwani haina ushirikiano kabisa wa hayo masomo bora ingefutwa kwny comb za arts ili zibakie HGL &HKL.
 
Comb mbovu ni HGK kwani haina ushirikiano kabisa wa hayo masomo bora ingefutwa kwny comb za arts ili zibakie HGL &HKL.

ila mbona iko frsh 2 hapo zero hamna labda uwe umevujshiwa pepar o level
 

ok nmekupata,ila weka ya eca hapo.maana zaid cjtawah iona ya eca.
 
Mkuu kufaulu sio neno lakin ukwel utabaki pale pale kuwa hyo ni comb butu na comb tasa.

du mwana unaidis sana lilikuwa lengo lako nin la kuisoma sema ndo vle wakakubania mbona masela kbao wameisoma na wanapiga shavu knoma kulko hata ma PC kunan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…