Kwa wale waliopita advance na walioko


umekosa kaz wewe...VP ILE YA UDALAL WA MAPENZ IMEKUSHINDA?
 

tena huyo martine chegere alikuwa tanzania one!!
 
...mm set ilikua inaniyumbisha kabisaa,yaan nilikua cna uhakika wa kupata swali lake
 
kusoma kwategemea malengo yako na umejipangaje.
haijalishi wengine wasemeje,
ngumu kwao, maji hawajayagusa waseme yatakuunguza, wakati uliyeyavulia nguo huoni mosh
 
Mi mwenyeweEGM nimeweka 1.3 now npo SUA informatics and mathematics naenda kupiga code mwanzo mwisho,
 
Maisha hayaangalii vyeti nyie fanyeni tu mambo ya kulinganisha comb na vyuo sie tunapiga box tu na div 4 zetu
 
Mi mwenyeweEGM nimeweka 1.3 now npo SUA informatics and mathematics naenda kupiga code mwanzo mwisho,
 

akili ya kitoto hiyo...comb haiwezi kukutoa kimaisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…