yeddy guyy
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 627
- 489
Demiss nipo Dodoma Leo VP ratiba ya club maisha ya boss gilla?Hahahhaha poleeee
Mm leo nipo nyerere square nimetulia naombeleza
Unaninyegeshaaa wallah unavyonitamanisha kulamba mwili wa mwanaumee[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Namtizama mwl nyerere na kutafakariUpo unacheki TV ya Umma eh
Mkuu huko vyumba vya kupanga bei zikoje?Platnum Annex Area C .
Kama kuna mdau hapa anyoshe nkono juuuuu
Mkuu huko vyumba vya kupanga bei zikoje?
Mfano master moja kubwa
Mkuu inategemea na maeneo, na nyumba yenyewe.
Kuna Elfu 60, 70, hadi 100
Njooo hapa Rocky Garden au twende Makuti mpya au unaonaje DSTV barMlioko bahi jamani, bata wapi tunaenda?[emoji41][emoji41][emoji41]
room zipo kwa 60 me nakuchekia mkuuWazee dodoma mjini katii vyumba kupanga bei gani?
Mfano Master moja kubwa.
Mkuu, nitakutafuta, nataka niweke kambi hapo soooon!!room zipo kwa 60 me nakuchekia mkuu
Aah karibu mkuuMkuu, nitakutafuta, nataka niweke kambi hapo soooon!!
Ila iwe sehem ya kushua, sio uswazi.
Rum iwe poa, Master moja kubwaa!!
Ila Arusha ndo inafaa kuitwa jiji?Dodoma haina hadhi ya kuitwa "City" basi tu siasa za maji taka.
Yani unatoka hapo town kati ukikatiza kwa mguu area c, area d, upo miyuji ghafla mpamaaa hakuna hata nyumba ni mbingiri tu mnaita city?
Sasa Mbeya kuna maajabu gani? Ukitoa Dar walau huko kwingine kwa kawaida tu hasa kama ulishaona majiji ya wenzetuAcha kufananisha mbeya na vitu vya kijinga