Kwa wale waliopo dom city...karibuni..

Kwa wale waliopo dom city...karibuni..

Dodoma haina hadhi ya kuitwa "City" basi tu siasa za maji taka.

Yani unatoka hapo town kati ukikatiza kwa mguu area c, area d, upo miyuji ghafla mpamaaa hakuna hata nyumba ni mbingiri tu mnaita city?
Ila Arusha ndo inafaa kuitwa jiji?
 
Back
Top Bottom