Kwa wale waliopo dom city...karibuni..

Dodoma haina hadhi ya kuitwa "City" basi tu siasa za maji taka.

Yani unatoka hapo town kati ukikatiza kwa mguu area c, area d, upo miyuji ghafla mpamaaa hakuna hata nyumba ni mbingiri tu mnaita city?
 
hahaha penda chako mkuu mbna viwanja kibao tuu bata za kutosha yaani
 
Dodoma haina hadhi ya kuitwa "City" basi tu siasa za maji taka.

Yani unatoka hapo town kati ukikatiza kwa mguu area c, area d, upo miyuji ghafla mpamaaa hakuna hata nyumba ni mbingiri tu mnaita city?
Majiji yote Tz ni ya kawaida tu mkuu ukiringanisha na majiji ya nchi nyngne haswa zilizoendelea...so enjoy wat u see iz gudo
 
Dodoma haina hadhi ya kuitwa "City" basi tu siasa za maji taka.

Yani unatoka hapo town kati ukikatiza kwa mguu area c, area d, upo miyuji ghafla mpamaaa hakuna hata nyumba ni mbingiri tu mnaita city?

We unazani hayo majiji unayohisi yanahadhi yalijengwa siku moja? Let Say Jiji la Mbeya unafananisha na Dodoma ?
Dom iko planed vizuri na after Sevaral Years utaona Aibu kwa hayo Maneno Yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…