Hatari siyo kuulizaFantasy Village Msalato mambo ni fayaaa
Wewe mm nilkuwa natoka na yule mheshimiwa mnafiki anapenda kuhama vyama mzee wa mashangingi
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Smin off nikinywa nataman kutapika mm savana tu kama sjiskii kulewa st anna yang moja tu basiiisijanywaa savana miaka !siku nikaamua kuzinywa!khaaa" zikashuka"yaan km una kidate mwanamke kunywa savanna!sio smirnof wala desperado!hizi mmhua nagonga sifeel kitu....shikamoo savanah!
Hapana sjazoea kudate na vijana hata mm wazee ndo nawapenda sjui kwann?Ukizoea sana wazee, utakuja kuwa small house, au kwa vile unawezachomoa mpunga na asigundue ndo maana unawapenda
Smin off nikinywa nataman kutapika mm savana tu kama sjiskii kulewa st anna yang moja tu basiii
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nilikuwa nimelewa mbn jana nilkuwa shangazi bar tumetulia tuJana umezingua wewe, eti sa sita umelala?
Unataka kumjua mzee mwenzioWahamaji wa zamani au wa sasa?
Naona warembo wenzangu wanatumia desperado na Amstealduh pole...
Hapana sjazoea kudate na vijana hata mm wazee ndo nawapenda sjui kwann?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sana ukitaka kuiba tunda kwenye mti lazima umfahamu kwanza mmiliki
Wanacare sana yani wazee ukideka tu mtoto wabembelezwaWazee wanapendwa wallet tu hapo.
Waambie wakae karibu na wazeeNaona warembo wenzangu wanatumia desperado na Amsteal
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Wivuu sasa huoooSana ukitaka kuiba tunda kwenye mti lazima umfahamu kwanza mmiliki
Wivu ni spice katika mapenzi
sana..amstel sijaijaribNaona warembo wenzangu wanatumia desperado na Amsteal
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hahaha kama wapo na mm unazani tutaacha kwenda site 1 , 2 na 3Waambie wakae karibu na wazee
Hata wewe una wivu mm najua wazee hawana wivuWivu ni spice katika mapenzi